BODI YA FILAMU YAKAMILISHA MCHUJO TUZO 2023
BODI ya Filamu Tanzania imekamilisha mchujo wa pili wa filamu ambazo zitakwenda kushindaniwa katika kupata washindi wa Tamasha la tuzo za Filamu kwa mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msingwa alisema kuwa Tuzo za Filamu Tanzania zimechochea uanzishwaji wa tuzo nyingine hapa nchini, ikiwemo zile za wadau kupitia vyama ambavyo wamevianzishwa…