DUKA LA NNE MWEZI HUU LA KUBETIA LAZINDULIWA KARIAKOO FIRE NA MERIDIANBET

Duka la kubetia la nne kwa mwezi huu Machi limezinduliwa hii leo na Meridianbet wababe wa masuala ya ubashiri Tanzania wakiwa na kile ambacho mteja unakihitaji kwa muda wowte ule. Lakini pia unaweza kuchagua machaguo si chini ya elfu moja hapa hapa Meridianbet.

Wakati ligi mbalimbali duniani zikiwa zimesimama kwaajili ya kupisha michauno mbalimbali kama vile timu za mataifa kuwania kufuzu Afcon na mengine kuwania kufuzu michuano ya Euro mwakani, Meridianbet inakupatia ODDS KUBWA kwenye mechi hizo za kimataifa ingia na ubeti sasa.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Baada ya uzinduzi wa duka hilo mitaa ya Fire, Bwana Twaha Ibrahim ambaye ni mkuu wa kitengo cha Maudhui Meridianbet kwanza alisema kuwa; “Duka hili ambalo tumezindua ni la nne kwa mwezi huu, na hakika natumaini mmefurahi sisi kuwaletea duka hili kwaajili ya kuwarahisishia kwenye shughuli zenu za kubetia”

Twaha hakuishia hapo aliwashukuru watu wote ambao walihudhuria kwenye uzinduzi huo na kuwaambia kuwa hawajakosea kuchagua Meridianbet kwenye kubashiri kwani Meridianbet hutoa kile ambacho wanakitaka na pia ODDS KUBWA zipo hapa.

Pia tembelea tovuti ya Meridianbet www.meridianbet.co.tz kuona ongezeko la odds kubwa na machaguo kibao.

Meridianbet pia wana kile ambacho unakipenda ambapo michezo ya kasino ya matandaoni hapa ndipo mahali pake kuna sloti za kijanja na michezo rahisi kushinda kama Aviator, Poker na Roulette, jiunge Meridianbet uwe moja ya washindi wa kila siku. Pia unaweza kubashiri  mubashara mechi hizo.