HAYA HAPA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2023
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), leo Januari 25, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato che nne. BOFYA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 BONYEZA LINK HAPA CHINI Matokeo ya Kidato cha Nne 2024
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA), leo Januari 25, 2024 limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato che nne. BOFYA KUTAZAMA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2024 BONYEZA LINK HAPA CHINI Matokeo ya Kidato cha Nne 2024
Kituo cha watu ambao wameathirika na madawa ya kulevya, MRC Muungano, Recovery Community leo hii wameishukuru meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea msaada wa chakula na vifaa vya usafi kama vile sabuni. Baada ya kimya kingi sasa meridianbet wamekuja na kishindo kikubwa cha kurejesha kwenye jamii kama ambavyo huwa wanafanya ambapo leo hii zamu ilikuwa kwa…
Cecil, mbwa kutoka Pennsylvania, amekuwa maarufu baada ya kutafuna bahasha ya pesa ambayo wamiliki wake walikuwa wametenga kwa ajili ya kumlipa mkandarasi. Mapema Desemba, Clayton Law aliweka bahasha iliyokuwa na $4,000 kwenye kabati lake jikoni kwake huko Pittsburgh, Pennsylvania. Yeye na mke wake, Carrie, walihitaji kumlipa mkandarasi wao pesa taslimu kwa ajili ya kuweka uzio….
Aliyekuwa mwanariadha wa Olimpiki mwenye ulemavu, Oscar Pistorius ataachiwa huru leo kwa msamaha na kutoka gerezani nchini Afrika Kusini baada ya kukaa jela kwa takribani miaka 11 kwa kosa la kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp. Alimpiga risasi kadhaa kupitia mlango wa bafuni mwaka wa 2013 na kudai kuwa alidhani ni mwizi. Pistorius, ambaye sasa ana…
UKIITAJA Tandale basi utapewa zile habari za mwamba Nassib Abdul ambaye jina lake maarufu anaitwa Diamond kuwa yeye hapo ndio maskani yake na muziki wake ulianzia hapo mpaka leo katusua kitaifa na kimataifa. Vipaji vingi vipo Nyanda za Juu Kusini pia ambapo ukiigusa mitaa ya Njombe Mjini mitaa ya Mpechi kuna Christopher Muhagama…
MWANAMUZIKI Rajabu Abdul maarufu kwa jina la Harmonize amewaagiza wasimamizi wake Chopa na Jembe ni Jembe kutumia fedha ambazo amelipwa kwa ajili ya tamasha lililofanyika Manispaa ya Kahama, Shinyanga kutumika kwa ajili ya kununua mahitaji muhimu yatakayopelekwa kwa waathirika wa maporomoko ya matope yaliyotekea Hanang Mkoa wa Manyara. Kupitia ujumbe aliouandika kwenye ukurasa wake wa…
Sloti ya Wild West Riches Ile Sloti bomba ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inayokupa nafasi ya kuibuka shujaa kwenye kundi kubwa la matajiri sasa imerejea, ni sloti ya Wild Wild West Riches humu kuna unyama mwingi na jambo kubwa ni kuwa kila ukicheza unajiweka kwenye nafasi kubwa ya kushinda. Sloti hii ya kasino ya…
BODI ya Filamu Tanzania imekamilisha mchujo wa pili wa filamu ambazo zitakwenda kushindaniwa katika kupata washindi wa Tamasha la tuzo za Filamu kwa mwaka 2023. Katibu Mkuu wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msingwa alisema kuwa Tuzo za Filamu Tanzania zimechochea uanzishwaji wa tuzo nyingine hapa nchini, ikiwemo zile za wadau kupitia vyama ambavyo wamevianzishwa…
DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika: ‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali…
MIKASA ya kuumizwa iligeuzwa kuwa fursa na kumpa jina mwamba kutoka kanda ya ziwa akatusua kisha jamii ukamtambua kupitia ngoma ya Mbona. Ni MJ Record aliisuka biti zama hizo miaka ya 2007 PNC jina lake ni Panckras Ndaki Charlse akadondosha mistari yake akishirikiana na Mr Blue. Bado anapambania kombe kuonesha kipaji alichopewa na Mungu. Mengi…
Je, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure? Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni? Basi usikose nafasi hii ya kujiunga na Promosheni hii mpya kutoka Meridianbet. Promosheni ya “Jichukulie Maokoto na Halopesa” Inafanya kazi pale ambapo mteja wa Meridianbet ataweka pesa TZS 10,000 au zaidi, na…
TWAHA Kiduku mzee wa showshow anabainisha wazi kuhusu mipango yake kwenye upande wa mapigano
Shangwe shangwe shangwe tu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es salaam baada ya bodaboda kufikiwa na Meridianbet na kupatiwa reflectors ambazo zitawasaidia wanapoendesha pikipiki nyakati zote lakini pia kwa kushirikiana na Polisi wa usalama barabarani wameweza kufanikisha zoezi hilo. Zoezi hilo limekuja kwa kusindikizwa na kampeni ya kuvutia kabisa inayoitwa “Mtaa kwa mtaa” inayolenga…
NI yake Chris Jabari, Njombe Finest ikiwa ni mpya kabisa inaitwa Sina Mashaka leo ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani na hii ni kazi ya kwanza kwa 2023 nyingine zinakuja kwake Sina Mashaka
Sub-Heading: Aprili ya Kishua unaambiwaje jisajili Meridianbet upate mizunguko 50 ya bure kucheza sloti ya kasino ya mtandaoni. Kujisajili bonyeza hapa: https://a.meridianbet.co.tz/c/srILsF Furahia sloti mpya kutoka Kasino ya Mtandaoni ikielezea Roma ya Kale! Cheza kipekee katika sloti ya Meridianbet Veni Vidi Vici! Ikiwa unafurahia michezo inayoelezea mambo ya kale, Meridianbet kasino ya mtandaoni wana zawadi…
Promosheni Kabambe ya Endorphina Kuutafuta utajiri ni rahisi sana kama ukiichagua kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kwa sababu kila siku wanakuja na promosheni za kibabe kwaajili yako. Ukiweka kando michezo ya kubashiri soka, kuna bonasi na machaguo kibao. Hivyo saka utajiri kwa kucheza kasino ya mtandaoni kila siku na ujiweke kwenye nafasi ya kushinda mgao…
Duka la kubetia la nne kwa mwezi huu Machi limezinduliwa hii leo na Meridianbet wababe wa masuala ya ubashiri Tanzania wakiwa na kile ambacho mteja unakihitaji kwa muda wowte ule. Lakini pia unaweza kuchagua machaguo si chini ya elfu moja hapa hapa Meridianbet. Wakati ligi mbalimbali duniani zikiwa zimesimama kwaajili ya kupisha michauno mbalimbali kama…