HARMONIZE – YANGA BINGWA (OFFICIAL YANGA ANTHEM)
Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize amechia wimbo wake mpya wa ‘Yanga Bingwa’ aliomshirikisha Haji Manara na wachezaji wa Yanga.
Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize amechia wimbo wake mpya wa ‘Yanga Bingwa’ aliomshirikisha Haji Manara na wachezaji wa Yanga.
Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kutoa msaada leo katika eneo la Mbagala Kingugijijini Dar-es-salaam katika moja ya familia zenye uhitaji. Huu umekua utaratibu wa miaka mingi wa mabingwa hao wa kubashiri kuhakikisha wanarudisha kwenye jamii yao haswa kwenye watu wenye uhitaji, Leo wamefika kwenye familia ya mzee Yusuph Mdogwa mwenye ulemavu wa macho na kurejesha tabasamu…
Michezo ya Olimpiki ya mwaka 2024 imefunguliwa mjini Paris kwa mbwembwe na mtindo wa kipekee huku mamia ya wanariadha washiriki wakiabiri maboti katika mto Seine katikati ya burudani la kukata na shoka la muziki. Hafla hiyo ya ufunguzi imetoa fursa adimu ya kuuonyesha utamaduni wa Ufaransa, fasheni na muziki japo ilikumbwa na kiwingu cha mvua….
Unataka kuwa Milionea na hujui pa kuanzia? Nisikilize mimi leo nakuletea mchezo wa kasino unaosifika kwa tabia yake ya kutoa mikwanja kwa majokeri. Kabla ya yote embu jisajili hapa kisha twende kazi mtu wangu wa nguvu. Sloti ya 777 Super Strike inapatikana kwenye Kasino Mtandaoni ya Meridianbet ikiwa na safu tano zilizowekwa katika mistari…
Mwanamama ambaye huko nyuma alikuwa akifanya kazi mbalimbali za kiburudani za kuwapeleka wasanii mbalimbali wa hapa nchini kufanya show nje ya nchi @ukhtydidas na aliyekuwa mke wa msanii wa Bongo Fleva, Q Chief amefunguka mambo mbalimbali aliyoyapitia kwenye maisha yake ikiwemo ishu ya kunyan’ganywa watoto wake na wazungu na kukaa nao mbali zaidi ya miaka…
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Meridianbet Zoran Milosevic, atakuwa mzungumzaji mkuu katika Siku ya Wawekezaji ya Senzal, moja ya jukwaa muhimu zaidi la wawekezaji na wafanyabiashara wakubwa duniani. Tukio hili linafanyika leo Jumatano tarehe 26 Juni huko Belgrade nchini Serbia. Jukwaa la Senzal hukusanya wawekezaji na wafanyabiashara, wataalamu wa fedha, na viongozi wa makampuni kama Meridianbet…
Mwimbaji maarufu wa Bongo Fleva, Rajab Abdul Kahali almaarufu Harmonize ametoa wimbo mpya wa ‘Sensema’ akishirikiana na supastaa mwingine wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Rayvanny au Vanny Boy
Serikali imesema bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imelenga kutekeleza vipaumbele vitakavyojikita katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu” pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2024/25. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyataja maeneo ya vipaumbele yaliyoainishwa katika mpango huo kuwa ni pamoja na…
Meridianbet wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi. Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…
Promosheni Baabu Kubwa! Shindano la Expanse kila siku washindi wapya wanaibuka na kuzawadiwa bonasi za kasino, kitita cha maana Tsh 4,750,000/= kinakusubiri mwishoni mwa shindano, Jisajili Meridianbet na cheza michezo ya Expanse iliyopo Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Shindano la Expanse ndani ya Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa…
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Zuhura Yunus kuwa Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Kabla ya Uteuzi, Zuhura alikuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais – Ikulu
Kauli pekee ambayo unaweza kutumia ni kua furaha imetawala siku ya kina Mama duniani eneo la Kigamboni, Kwani mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet ndio waliofanikisha furaha hiyo kwa kutoa msaada katika eneo hilo Imekua utamaduni kwa magwiji hao wa michezo ya kubashiri wamekua wakijitahidi kurudisha kwenye jamii yao na leo wamefanikiwa kutoa…
Staa wa Bongo Fleva, Stamina ‘Shorobwenzi’ amesema kifo cha Dairekta Khalfani ni pigo kubwa kwa sanaa ya muziki wa kizazi kipya kwani alikuwa ni mtu wa kutegemewa linapokuja suala la kushoot video za nyimbo za wasanii. Amesema kwa taarifa ambazo alikuwa anazijua, ni kwamba Dairekta Khalfan alianguka akiwa kazini na baadaye akapelekwa Hospitali ya Lugalo…
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo aliyechukua nafasi ya Zitto Kabwe ndani ya chama hicho, mwanamama Dorothy Semu amefunguka juu ya mjadala na maswali kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman anayetokana na ACT hana nguvu ukilinganisha na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla. Katika mahojiano…
SUPASTAA wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya WCB, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, ametoa ushari kwa vijana kuwa vijana wenzangu, sina kikubwa cha kuwapa ila kuwasihi kutumia changamoto na kheri za maisha yangu kama moja ya motisha ya maisha yenu kwenye mbio za kujikomboa Kimaendeleo muamini ya kwamba kila kitu kinawezekana chini ya jua……