Dkt. Samia Ahidi Mradi wa Umeme na Barabara Kuboresha Maisha ya Wananchi Masasi
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza mpango wa kujengwa kwa njia ya kusafirisha umeme kutoka Ruvuma–Tunduru hadi Masasi mkoani Mtwara, ili kuongeza uhakika wa upatikanaji wa nishati hiyo katika mkoa huo. Akihutubia maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja…