KOCHA UNITED AAMBIWA AONDOKE TU HAMNA NAMNA
RIO Ferdinand, beki wa zamani wa Klabu ya Manchester United amesema kuwa kwa sasa ni muda mzuri kwa Kocha Mkuu, Ole Gunnar Solskjaer, kuondoka ndani ya kikosi hicho kwa heshima kabla ya kutimuliwa. Beki huyo hapo awali alikuwa yupo upande wa kocha huyo kwa kuwa alikuwa akimtetea na alikuwa anaamini kwamba anaweza kuja kufanya vizuri…