
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA JWANENG GALAX
OKTOBA 24 leo kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Jwaneng Galaxy ambao utakuwa ni wa marudio. Katika mchezo wa kwanza, Simba ilishinda mabao 2-0 hivyo leo ina kazi ya kulinda ushindi wake pamoja na kusaka ushindi ili kuongeza nafasi…