
DAKIKA 450 ZA MOTO KWA GOMES
LICHA ya kwamba ameshabwanga manyanga ndani ya kikosi cha Simba, Didier Gomes raia wa Ufaransa kuna mechi nyingi ambazo alizishuhudia kwake zilikuwa ni za moto na pasua kichwa kwa namna wachezaji wake walivyopambana na mwisho kupata matokeo ama kuangukia pua. Hizi ni Mechi 5 ambazo ni dakika 450 zilizokuwa ni za moto kwa Gomes alipokuwa…