
SIMBA YAWAVUTIA KASI WABOTSWANA
KIKOSI cha Simba leo Oktoba 22 kimeendelea kuivutia kasi timu ya Jwaneng Galaxy ya Botswana kuelekea kwenye mchezo wao wa marudio wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 24. Miongoni mwa nyota ambao walikuwepo kwenye mazoezi ya leo yaliyofanyika Uwanja wa Boko Veterani, Bunju ni pamoja na kiungo mkata umeme mpaka…