LIGI Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ikiwa ni mzunguko wa 14 baada ya mzunguko wa 13 kukamilika huku vinara wakiwa ni Yanga na pointi zao no 35 kibindoni.
Hii hapa ni ratiba ya mzunguko wa 14 mwendo utakuwa namna hii:-
Ruvu Shooting v Mbeya Kwanza, Februari 3, Uwanja wa Azam Complex.
Simba v Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa Februari 3.
Azam FC v Dodoma, Uwanja wa Azam Complex, Februari 4.
KMC v Biashara United, Uwanja wa Azam Complex, Februari 5.
Kagera Sugar v Coastal Union, Uwanja wa Kaitaba, Februari 5.
Yanga v Mbeya Citym Uwanja wa Mkapa, Februari 5.
Geita Gold v Polisi Tanzania, Februari 6 Uwanja wa Nyankumbu.
Namungo FC v Mtibwa Sugar, Uwanja wa Ilulu, Februari 6