SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons ameweka wazi kwamba wapinzani wake Simba ambao anakwenda kukutana nao kesho kwenye mchezo wa ligi Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku ni timu bora hivyo wanawaheshimu lakini jambo pekee ambalo waahitaji ni pointi tatu.
VIDEO:KOCHA TANZANIA PRISONS AKUBALI KWAMBA SIMBA NI TIMU BORA
