MAYELE ATOA KAULI YA KIMATAIFA
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Mayele amesema yeye na wachezaji wenzake hawana presha kuhusu mchezo wa raundi ya pili ya mtoano dhidi ya Al Hilal ya Sudan Kaskazini. Mayele ametoa kauli hiyo kwa kujiamini akisema ni halali yao kuingia makundi katika michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika kwani wana wachezaji wazuri na wanajiamini, hivyo hawana presha…