MAYELE BADO NI MWANANCHI,MADILI MENGINE YAMEKWAMA
MADILI yote ambayo yalikuwa yanatajwa juu yake mwisho yamezimwa na sasa ni rasmi mwaba Fiston Mayele bado yupo sana ndani ya Yanga. Nyota huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye rada za timu kubwa Afrika ikiwa ni pamoja na Morocco, Afrika ya Kusini ambazo zilikuwa zinahitaji saini yake. Yanga wameamua kumpa dili lingine ambalo litamfanya adumu…