KAY Mziwanda shabiki wa Simba amesema kuwa kwa Yanga kupangiwa na Al Hilal ni kipimo sahihi kwao huku akibainisha kuwa Yanga haitaweza kuingia hatua ya makundi kwa kuwa wanakutana na Al Hilal na sio Zalan, amebainisha Simba ni kawaida kutinga hatua ya makundi