
DODOMA JIJI 0-2 YANGA,LIGI
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamekamilisha dk 45 za mwanzo wakiwa mbele kwa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji, kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Kasi ilianza ndani ya dakika 10 za mwanzo ambapo presha ilikuwa kubwa na Yanga ikapachika bao la kuongoza dk ya 11 kupitia kwa Dickosn Ambundo. Winga huyo ambaye…