
MAYELE ALIWEKWA MTU KATI UWANJA WA MKAPA NA NYOSSO
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga aliwekwa mtu kati juzi mbele ya Geita Gold baada ya kukabidhiwa kwenye mikono salama ya Kelvin Yondan na Juma Nyosso ambao walikula naye sahani moja. Mzee huyo wa kutetema aliyeyusha dk 90 mazima bila kutetema huku kila hatua ambayo anakwenda nyuma alikuwa yupo Nyosso ama Yondani kwa ajili ya kwenda…