
ARSENAL YARUDI NA OFA NONO KWA LISANDRO MARTINEZ
ARSENAL imeboresha ofa yake kwa beki wa Ajax, Lisandro Martinez huku pia wakiwa wanatumaini kufikia makubaliano na Leeds United kuhusu Raphinha. Arsenal imeboresha ofa yake na kufikia pauni milioni 34 kwa ajili ya Muargentina Martinez lakini Ajax wanataka kiasi kinachokaribia pauni milioni 43 huku pia Man United wakiwa wanamtaka. Hata hivyo, United inahitaji kuuza kwanza…