
BEACH SOCCER TIMU YA TAIFA KAZI NI KESHO
HATIMAYE kikosi cha Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ ambacho kinajiandaa na mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON (BSAFCON) dhidi ya Malawi utakaofanyika kesho Agosti 7, 2022, yameendelea kufunga hesabu yake ya maandalizi hayo kwenye Fukwe za Coco jijini Dar es Salaam. Katika mazoezi ya mwishomwisho yaliyofanyika jana Ijumaa Agosti 5 na…