
MCHEZAJI BORA LIGI KUU BARA,KOMBE LA SHIRIKISHO
USIKU wa tuzo usiku wa kuamkia Julai 8/2022 umeweza kukamilika kutoka Ukumbi a Hotel ya Rotana ambapo kila aliyeweza kuchaguliwa kasepa na tuzo yake. Miongoni mwa tuzo ambazo zilikuwa zinafuatiliwa kwa ukaribu ni pamoja na ile ya mchezaji bora pamoja na bao bora ambalo limeweza kutambuliwa ndani ya ligi msimu huu. Tuzo hizo zimekwenda kwa…