
AZAM FC KUKWEA PIPA MPAKA MISRI
JULAI 22,2022 kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kuondoka Dar na kuibukia nchini Misri kwa ajili ya kuweka kambi kwa maandalizi ya msimu wa 2022/23 watakaa huko hadi Agosti 12,2022 kwenye Mji wa El Gouna, Kwa Mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC,Zakaria Thabit amebainisha hayo kwa kuweka wazi kuwa hayo yametokea baada ya vikao kuweza…