
KUMBE MAYAY ALISHTUKIZWA UBOSI
LEGEND wa soka Bongo, Ally Maya Tembele amebainisha kuwa taarifa za kuteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Tanzania zilimfikia kwa kustukizwa na hakuwa na tetesi za kuwa atapewa nafasi hiyo. Septemba 20 Mayay aliteuliwa kuchukua nafasi ya Yusuph Singo aliyepangiwa majukumu mengine. Mayay alibainisha hayo alipokuwa mubashara kwenye kipindi cha Krosi…