
MOROCCO HUZUNI TUPU, CROATIA FURAHA
MASHABIKI wa Croatia walikuwa na furaha huku wale wa Morocco wakiwa na huzuni baada ya kupoteza mchezo wao kweye Kombe la Dunia. 44,137 ni idadi ya mashabiki ambao walikuwa ndani ya Uwanja wa Taifa wa Khalifa kushuhudia mchezo wa kumsaka mshindi wa tatu wa Kombe la Dunia 2022 Qatar ambaye ni Croatia. Matumaini ya Morocco…