Home International BARCELONA WANAKIMBIZA LA LIGA

BARCELONA WANAKIMBIZA LA LIGA

BARCELONA inaongoza La Liga ikiwa imekusanya pointi 68 baada ya kucheza mechi 26.

Wanaofuata ni Real Madrid hawa nafasi ya pili na pointi zao kibindoni ni 56 wamecheza mechi 26.

Mchezo wao walipokutana Uwanja wa Camp Nou Jumapili ya Machi 19, ubao ulisoma Barcelona 2-1 Real Madrid.

Ni Sergi Roberto dakika ya 45 na Franck Kessie dakika ya 90 hawa walifunga kwa Barcelona huku Ronaldo Araujo akijifunga dakika ya 9 likiwa ni bao pekee kwa Real Madrid.

Previous articleDABI YA WANAWAKE KARIAKOO NI MOTO
Next articleVIDEO: CHEKI TIZI LA MASTAA STARS