
BRAZIL YAPENYA JIONI KABISA KOMBE LA DUNIA
USHINDI wa bao 1-0 Uswisi ambao wamepata timu ya taifa ya Brazil mbele ya Uswisi umewapa tiketi ya kutinga hatua ya 16 bora Kombe la Dunia 2022, Qatar. Bila ya staa wao Neymar Brazili imetinga hatua ya 16 bora kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mwanzo mwisho Uwanja wa 974. Dakika ya 83 bao hilo limefungwa…