
STARS KAZINI LEO FEI APEWA PROGRAM MAALUM
KIUNGO wa Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania Feisal Salum, Fei Toto amepewa program maalumu nchini Misri ili kurejea kwenye ubora wake. Mazoezi hayo ni maalumu kwa ajili ya kumuongezea fitinesi kuelekea kwenye mchezo wa leo Machi 24 dhidi ya Uganda. Stars ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Uganda Uwanja wa…