Saleh

CITY YAPIGA MTU KIFURUSHI CHA WIKI

MANCHESTER City kwenye mchezo wa UEFA Champions League wamemchapa RP Leipzig mabao 7-0. Uwanja wa Etihad ulisoma hivyo na kuwapa nafasi ya kusonga mbele kwa jumla ya mabao 8-0. Ni Erling Haaland alitupia kambani dakika ya 22 kwa mkwaju wa penalti, 24,45,53 na 57 mwamba aliwapa tabu Sana. Ilkay Gubdogan alitupia dakika ya 49 na…

Read More

KUMBE GEITA GOLD WALIPANGIWA KOSI LA CAF MECHI YA LIGI

BAADA ya Geita Gold kuambulia kipigo cha mabao 3-1  kutoka kwa Yanga ,Mkurugenzi wa  Geita Gold Zahar  Michuzi  amefunguka na kusema kuwa Yanga  waliwapangia kikosi cha CAF. Mchezo huo ulipigwa  wikiendi hii Jumapili  kwenye Uwanja wa Chamazi ambapo Geita Gold ilianza kufunga kisha ikakwama kushinda mchezo huo. Mwenyeketi wa Geita Gold Zahar amesema “Kitendo cha…

Read More

KIMATAIFA MUHIMU KUUNGANA KUTUSUA

IKIWA watakuja wageni na kuondoka na ushindi nyumbani kweye hatua za makundi mechi za kimataifa ni maumivu makubwa kwelikweli. Hiana maana kwamba waohawana uwezo wa kushinda lakini ni namna ya uhitaji ulivyo mkubwa kwa sasa kwa kila timu hasa Simba na Yanga. Mechi za nyumbani kwa kila mmoja kwa sasa zimeshikilia maamuzi ambayo yataleta hatua…

Read More

KIUNGO WA KAZI AREJEA NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA

KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo aliumia kwenye mazoezi wakati timu hiyo ilipokuwa kwenye maandalizi ya mechi zake za ushindani. Taarifa iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa HD amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kupona. Hivi…

Read More

TANZANIA PRISONS YAGOMEA KUSHUKA DARAJA

MOHAMED Abdalaha, ‘Bares’ Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa mashabiki wawe na Imani timu hiyo haitashuka daraja licha ya presha ambayo wanaipitia pamoja na mwendo ambao hawaufurahii. Mchezo wao uliopita Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 2-3 Tanzania Prisons na kuwafanya wasepe na pointi tatu ugenini. Haikuwa kwenye mwendo mzuri katika mechi zake za hivi…

Read More

USHINDI UPO KWENYE MECHI HIZI HAPA LIGI YA MABINGWA

UEFA CHAMPIONS LEAGUE kurindima hii leo ambapo leo hii Manchester City atacheza dhidi ya RB Leipzig ambapo City anashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo na Leipzig yupo nafasi ya tatu kule Bundesliga. Kila timu inahitaji ushindi kusonga mbele. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kwenye nafasi ya kukusanya mpunga mrefu kabisa utakaobadili…

Read More

HOROYA KUKUTANA NA JAMBO LA TOFAUTI KWA MKAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao. Timu hiyo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba. Kwenye mchezo huo Oliveira alianza na washambuliaji wawili…

Read More

BADO MUDA WA KUPAMBANA KUFIKIA MALENGO

MUDA wa kukamilisha kazi kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi unazidi kusogea kutokana na kila timu kubakiwa na mechi chache mkononi. Kila mmoja kwa sasa anapambana kuona namna gani atafikia yale malengo ambayo alikuwa ameanza nayo kwa msimu wa 2022/23 ambao unazidi kwenda kwa kasi. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba matokeo anayopaa yanakuwa…

Read More