
SIMBA YAKOMBA POINTI TATU MBELE YA WALIMA ZABABI
UBAO wa Uwanja wa Uhuru Agosti 20 baada ya dakika 90 za jasho wa wanaume 22 kusaka pointi tatu umesoma Simba 2-0 Dodoma Jiji. Mabao ya Simba ya pira Uturuki yamefungwa katika vipindi viwili tofauti, dakika ya 43 kupitia kwa Jean Baleke ambaye alikuwa wa kwanza kuwatungua wazee wa pira Zabibu. Kipindi cha pili ni…