
BABA: MSUVA ANASAINI HAPA, KIVULI CHA NABI CHAMTESA GAMONDI
UTATA Kwishaa… Baba: Msuva anasaini hapa, kivuli cha Nabi chamtesa Gamindi Yanga ñdani ya Championi Jumatano
UTATA Kwishaa… Baba: Msuva anasaini hapa, kivuli cha Nabi chamtesa Gamindi Yanga ñdani ya Championi Jumatano
LEGEND kwenye masuala ya michezo Bongo Saleh Ally Jembe ameweka wazi kuwa kwa mpira wa Tanzania ni ngumu kuwachambua wachezaji wa Bongo kwenye mechi za ndani kutokana na ushindani ambao upo na kila mmoja anatambua kufanya vizuri ni kwenye mechi za wenyewe kwa wenyewe. Ni Yanga na Simba zilikuwa kwenye matamasha yao kwa ajili ya…
KASI ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa kwanza imekuwa kubwa na kila timu inaonyesha ushindani wake ndani ya dakika 90 kusaka ushindi hili ni jambo kubwa na muhimu. Sio Singida Fountain Gate, Namungo wala Ihefu zote zinapambana kufanya kweli hata zile ambazo zimepanda msimu huu kutoka Championship ikiwa ni Mashujaa na JKT Tanzania. Kila…
FUNDO za walima miwa Kagera Sugar zinakatwa na wapinzani wao kila wanaposhuka uwanjani kwa kukwama kukomba pointi kwenye mechi mbili mfululizo za ligi ambazo ni dakika 180. Kagera Sugar chini ya Kocha Mkuu, Mecky Maxime kete yake ya kwanza ilikuwa Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma dhidi ya Mashujaa ilishuhudia ubao ukisoma Mashujaa 2-0 Kagera Sugar….
MOSES Phiri msimu wa 2022/23 alitupia mabao 10 kibindoni na timu ya mwisho kuifunga ilikuwa ni Coastal Union, Tanga. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa nyota huyo ataendelea kuwapa furaha Wanasimba. Ikumbukwe kwamba katika mchezo wa fainali wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga anaingia kwenye rekodi ya nyota…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ambayo wanafanya kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika ni mwendelezo wa kurejea kwenye ligi kuendeleza kazi ya kutetea taji lao. Ipo wazi kuwa msimu wa 2022/23 Yanga ilitwaa taji la Ligi Kuu Bara huku watani zao wa jadi Simba wakigotea nafasi ya pili. Agosti 23 kikosi cha Yanga kinatarajiwa…
TAZAMA ufundi wa mapigo ya penalti kwenye mchezo wa TRA V Muhimbili kipa kama Ally Salim wa Simba ambaye aliizuia michomo mitatu ya mastaa wa Yanga. Salim kwenye mchezo wa fainali Ngao ya Jamii aliibuka shujaa Tanga kwa kuokoa penalti tatu alipokuwa langoni dhidi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi.
ROBERTINHO atema cheche Simba, Gamondi alirejesha kundini jembe la Nabi, asuka mkakati mzito Ligi Kuu Bara
UONGOZI wa Simba umezungumzia juu ya nyota wao Moses Phiri kurejea katika kikosi na kufunga katika mchezo wa ligi. Phiri anatambua kwamba msimu wa 2022/23 ni Saido Ntianzokiza wanayecheza naye kikosi kimoja pamoja na Fiston Mayele aliyekuwa ndani ya Yanga walitwaa tuzo ya ufungaji bora. Nyota huyo wakati msimu unaanza alikuwa anakimbizana na Mayele wa…
TUPO kwenye Ligi Kuu Bara, kipindi ambacho kilikuwa kinasubiriwa kwa hamu kubwa ikiwa ni msimu wa 2023/24. Mashabiki wa mpira nchini walisubiri kwa hamu kubwa kuona ligi inaanza tena. Hilo likatokea na tumefanikiwa kuona mambo yakienda vizuri sana. Ligi imekuwa na msisimko mkubwa licha ya kwamba, mabingwa watetezi Yanga wameshindwa kuanza mechi za ligi baada…
KAZI imeanza kwenye Ligi ya Soka la Ufukweni 2023 ambapo timu zinaonyeshana uwezo kwenye mechi hizo ambazo zinachezwa Fukwe za Coco Beach na hakuna kiingilio. Agosti 19 Kundi A lilianza kuonyesha makeke kwa timu kusaka ushindi na ilikuwa ni mwendo wa kutembeza vichapo kwa wapinzani na hakuna sare iliyopatikana. Sayari Boys inaingia kwenye rekodi za…
MSIMU wa 2023/24 bao la ajabu na nzuri limefungwa ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba ni Yanga wanatetea taji la ubingwa baada ya kutwaa msimu wa 2022/23. Coastal Union ya Tanga ni mashuhuda wa Yanga wakitwaa ubingwa na msimu huu wameanza kwa kupoteza mchezo wa kwanza na ule wa…
HAWA Yanga wanabalaa, Phiri avunja ukimya Simba
BAADA ya kufungua kete ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara kishujaa kwa kupata ushindi dhidi ya Kagera Sugar, Mashujaa FC ya Kigoma leo ina kibarua kingine cha kufanya. Ipo wazi kuwa mabingwa wa ligi ni Yanga wana kibarua cha kutetea taji hilo kwa msimu wa 2023/24. Bado Yanga haijashuka uwanjani kutokana na kuwa na…
MCHEZO wa kwanza katika Kombe la Shirikisho Azam FC imeanza kwa kupoteza baada ya dakika 90 kukamilika. Ikiwa ugenini imeshuhudia ubao ukisoma Bahir Dar 2-1 Azam FC hivyo wana kazi ya kusaka ushindi mchezo wa pili ili kuongeza nafasi ya kusonga hatua inayofuata katika Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la Azam FC inayonolewa na Kocha…
UKIWA ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Uwanja wa Azam Complex Yanga wamepeta kwa kufanya kweli katika mchezo wa awali uliochezwa Agosti 20. Kukiwa na mabadiliko kwenye kikosi cha Miguel Gamondi pamoja na aina ya uchezaji mchezo huo baada ya dakika 90 ubao umesoma ASAS Djibouti 0-2 Yanga. Ni Aziz Ki dakika ya 22…
BAADA ya danadana za kutosha, hatimaye Chelsea imekamilisha usajili wa kiungo rasta, Romeo Lavia kutoka Southampton. Kiungo huyo kinda ambaye timu yake ya Southampton ilishuka daraja msimu uliopita alikuwa akitakiwa kwa ukaribu zaidi na Liverpool lakini akachagua Chelsea ambayo amejiunga nayo kwa ada ya pauni mil 53 kukiwa na nyongeza ya pauni mil 5. Lavia…