
SIMBA YAJA NA ONYO ZITO
LICHA ya kufanikiwa kuibuka na pointi sita katika michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaonya mastaa wa timu hiyo. Miongoni mwa nyota hao ni Clatous Chama na Luis Miqquisone kuhakikisha hawabweteki bali wanapambana kuhakikisha wanashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ipo wazi kuwa Simba…