
KOCHA MBABE WA YANGA ATAJWA SIMBA
ABDELHAK Benchikha aliyewahi kuwa Kocha Mkuu wa USM Alger anatajwa kuwa katika hesabu za kupewa mikoba ya Robert Oliveira. Baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa Novemba 5 2023 kusoma Simba 1-5 Yanga, Novemba 8 Simba ilitangaza kupeana mkono wa asante na Oliveira. Taarifa zimeeleza kuwa upo uwezekano koçha huyo aliyetwaa ubingwa wa Kombe la…