Manchester United Yapoteza kwa Mara ya Kwanza Chini ya Michael Carrick Baada ya Kuchapwa na Newcastle United
Manchester United imepoteza kwa mara ya kwanza ikiwa chini ya kocha Michael Carrick baada ya kukubali kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Newcastle United katika mchezo uliopigwa kwenye dimba la St James’ Park. Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa huku Newcastle wakionekana kupambana kwa nguvu licha ya kubaki na wachezaji 10 kuanzia dakika za mwisho…