Dodoma Jiji FC vs Azam FC, NBC Premier League
Dodoma Jiji FC vs Azam FC ni Machi 11, 2026, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, saa 1:15 usiku. Azam FC imetoka kucheza mchezo wa CRDB Federation Cup dhidi ya Mbeya Kwanza, Uwanja wa Azam Complex. Mechi zijazo kwa Dodoma Jiji FC Aprili 3,2026 ni Dodoma Jiji FC vs Fountain Gate FC Aprili 14,2026 ni Coastal Union…