Saleh Jembe Afichua Siri Ya Kibabage, Awashangaa Singida Kudanganya – Video
Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa Kibabage alivyotoka Yanga alitaka kwenda Klabu ya Simba.
Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa Kibabage alivyotoka Yanga alitaka kwenda Klabu ya Simba.
Man Utd wameingia Top 6 📈 Aston Villa wana nafasi ya kwenda nafasi ya 2 kesho baada ya Man City kupoteza dhidi ya Man Utd 👀 Klabu ya Manchester Utd imeibuka na ushindi mnono wa bao 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo wa derby ya jiji la Manchester katika mchezo uliyochezwa katika uwanja wa…
Jean-Jacques Ndala, mwamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ndiye atakayechukua jukumu la kuongoza mechi ya fainali ya AFCON 2025 kati ya Senegal na Morocco. Ndala aliwahi pia kuongoza mechi ya ufunguzi ya mashindano hayo kati ya Morocco na Comoros, na ameonyesha uzoefu mkubwa kwenye michuano ya kimataifa. Seti ya Waamuzi wa Fainali Mwamuzi…
NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MAPINGA Eneo: Mapinga, kilomita 1 tu kutoka Bagamoyo Road Bei: Milioni 150 (maongezi yapo) Ukubwa wa kiwanja: 1,200 sqm Document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) MAELEZO YA NDANI ◇Vyumba 4 vya kulala (2 Master ◇Bedrooms – Self Contained) ◇Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha ◇Chumba…
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi kufuta Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN), hatua inayokuja kufuatia changamoto mbalimbali zilizojitokeza katika maandalizi ya mashindano hayo. Tangazo hilo limetolewa na Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe, wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Morocco Jumamosi, Januari 17. Akizungumza mbele ya…
Ni rahisi sana kutengeneza zaidi ya Mamilioni leo hii ukiwa na wakali wa ubashiri Meridianbet kwa kubashiri mechi zote leo. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako siku ya leo. Ligi kuu ya Uingereza leo hii itaendelea kwa mechi kali mbili ambapo mechi ya mapema ni hii ya Newcastle United atakuwa ugenini kukiwasha dhidi…
Baada ya tetesi kusambaa kwa muda mrefu mitandaoni zikimhusisha mwanadada @officiall_nai na staa wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, hatimaye mwenyewe ameamua kuvunja ukimya. Kupitia mahojiano ya mubashara na Global TV, Nai amefunguka na kuweka wazi ukweli kuhusu madai yanayoendelea kuzunguka mitandaoni, akieleza msimamo wake juu ya tetesi hizo zinazomhusisha na kiungo huyo wa Yanga. Mahojiano…
Leo macho yote yanaelekezwa Manchester United dhidi ya Manchester City katika pambano kubwa la mji wa Manchester. Uhasama wa jadi, presha ya mashabiki, na heshima ya jiji viko mezani ndani ya Premier League. 🏟 Uwanja: Old Trafford ⏰ Muda: Saa 9:30 alasiri kwa saa za Tanzania (EAT) ⚽ Mechi: Manchester United vs Manchester City Hii…
Mshahara wa Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, umeongezeka kila mwaka hadi Dola za Kimarekani Milioni 6.1 (takriban Shilingi bilioni 15 za Tanzania) kutoka Dola Milioni 1.4 mwaka 2016 wakati wa Sepp Blatter. Haya ni baadhi ya matokeo ya utafiti uliofanywa na Gazeti la ‘Le Monde’ unaofichua muundo wa Mshahara wa mwaka…
Jumamosi ya kubadilisha maisha yako na Meridianbet imefika leo. Suka jamvi lako la ushindi siku ya leo na uingie kwenye wale washindi wakubwa ambao hutangazwa hapa kila wiki. LALIGA pia kuna mechi ya kubashiri ambapo Real Madrid atamenyana dhidi ya Levante katika dimba la Bernabeu. Real wamemtimua kocha na kuleta kocha mpya baada ya kushindwa…
Meridianbet inakuleta kwenye ulimwengu wa Wild White Whale, ambapo kila mchezaji ana nafasi ya kushinda. Hapa, bahati ni nyongeza tu, ushindi unategemea ujuzi, mkakati, na nidhamu. Mchezo huu sasa umeboreshwa kutoa zawadi na mizunguko ya bure kwa wale wanaojua kupanga kila hatua. Cheza mizunguko 100 kwa pesa halisi, na Meridianbet itakupatia mizunguko 50 ya bure…
Mmiliki mwenza wa klabu ya Inter Miami, David Beckham, amewasisimua mashabiki wa soka duniani baada ya kuchapisha picha zinazoonyesha maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo, Miami Freedom Park. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Beckham ameonesha kuridhishwa na kasi na ubora wa ujenzi wa uwanja huo, akibainisha kuwa mradi huo uko katika…
Simba vs Mtibwa Sugar ni mchezo wa NBC Premier League unaotarajiwa kuchezwa Jumapili, Januari 18,2026. Uwanja wa Mej.Gen. Isamuhyo. Hii ni baada ya ligi kusimama kwa muda kutokana na mashindano ya AFCON ambayo yanaendelea nchini Morocco na Tanzania iliishia hatua ya 16 bora. Fainali inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Januari 18,2026 itakuwa ni Senegal vs Morocco ambao…
Leo hii ni nafasi nzuri ya wewe kubadili maisha yako na Meridianbet kwani kila chaguo unalotaka lipo hapa. Suka jamvi lako la uhakika na uanze safari yako za ushindi. Beti leo, LIGUE 1 kule Ufaransa kuna mitanange miwili ambapo AS Monaco atakipiga dhidi ya Lorient ambapo mara ya mwisho kukutana mwenyeji alipoteza mechi hii. Hii…
Ndege ya Turkish Airlines aina ya Airbus A321 iliyokuwa ikifanya safari kuelekea Barcelona ililazimika kutua kwa dharura katika Uwanja wa Ndege wa Barcelona–El Prat, baada ya abiria mmoja kuunda jina la Wi‑Fi hotspot lenye ujumbe wa kutishia bomu siku ya Januari 15, 2026. Ndege hiyo, yenye namba ya safari TK1853, ilikuwa imeruka kutoka Istanbul ikiwa…
Klabu ya Simba SC imeimarisha benchi lake la ufundi kwa kuwaleta kocha msaidizi mpya, Kristopher Bergman, akiwa na lengo la kusaidia timu katika kampeni zake za ligi na mashindano ya kimataifa msimu huu. Uwasilishaji wa Bergman umetokea baada ya klabu kufanya mabadiliko ya uongozi wa ufundi ili kuongeza ufanisi wa timu. Hii ni hatua muhimu…
Katika kipindi ambacho afya ya mama na mtoto imeendelea kuwa ajenda muhimu ya kijamii, Meridianbet imejitokeza kuchukua nafasi yake kama mdau anayetoa mchango wa moja kwa moja. Kupitia mpango wake wa kijamii unaoendelea, kampuni hiyo imekuwa ikiwafikia akina mama wajawazito na waliojifungua, ikilenga kuwapa unafuu katika kipindi chenye uhitaji. Msaada uliotolewa ulijikita katika vitu vinavyotumika…