AZAM FC YAREJEA CHIMBO

KIKOSI cha Azam FC kinachofundishwa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo kimerejea chimbo kwa maandalizi ya mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Azam FC inaingia kwenye rekodi ya timu mbili ambazo zimepata ushindi mbele ya Yanga inayofundishwa na Miguel Gamondi katika mechi za ligi. Ikumbukwe kwamba Yanga ni mabingwa watetezi wamekuwa kwenye mwendo bora…

Read More

SIMBA YAPIGA HESABU NDEFU KWA AL AHLY KIMATAIFA

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zote mbili za kimataifa hatua ya robo fainali kwa kuanza na kazi Uwanja wa Mkapa dhidi ya Al Ahly ya Misri. Ipo wazi kwamba Al Ahly watakuwa wapinzani wa Simba kwenye hatua ya robo fainali wakipata ushindi dhidi yao watatinga nusu fainali kwenye…

Read More

HII HAPA SIRI YA MWAMBA AZIZ KI

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI raia wa Burkina Faso ameweka wazi kuwa ushirikiano mkubwa kutoka kwenye benchi la ufundi pamoja na wachezaji ni nguzo kubwa kupata mafanikio katika mechi wanazocheza. Ipo wazi kwamba Aziz KI ni kinara wa utupiaji ndani ya Yanga akiwa na mabao 13 idadi hiyo ni sawa na kiungo wa Azam…

Read More

KIMATAIFA YANGA NI MUDATHIR YAHYA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns itakuwa ni siku ya simu kuita kwa kuwa mchezo utakuwa kwenye miguu ya Mudathir Yahya. Yahya chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi amekuwa kwenye mwendelezo bora katika mechi za Ligi Kuu Bara ambapo mtindo wake wakushangilia pale…

Read More

YANGA HAWANA HOFU KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns hawana hofu kwa kuwa wanaamini kwenye ubora walionao. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa tatu usiku kwa kila timu kupambana kupata ushindi kuongeza nguvu kutinga hatua ya nusu fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo…

Read More

VIDEO: SIMBA WASIWACHUKULIE POA AL AHLY KIMATAIFA

KUELEKEA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa Machi 29 2024 Uwanja wa Mkapa Legend Saleh Ally ameweka wazi kuwa Simba wanapaswa kuwa makini kuelekea mchezo huo wasiwachukulie pia wapinzani wao kwa kuwa Al Ahly ni moja ya timu imara ambazo zinajua namna ya kufanya kwenye hatua…

Read More

YANGA SC:MAMELODI WANAKUFA, AYOUB AKABIDHIWA AL AHLY

MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…

Read More

YANGA HESABU ZAKE KUFANYA KWELI KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kufanya vizuri kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Machi 30 2024. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuhusu kuelekea kwenye mchezo huo.

Read More