Home Sports WAARABU WA MISRI KUKUTANA NA MTEGO WA SIMBA

WAARABU WA MISRI KUKUTANA NA MTEGO WA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa mpango mkubwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly hesabu kubwa ni kupata matokeo chanya kwenye mchezo huo dhidi ya Waarabu wa Misri huku mtego mkubwa ikiwa ni kubadilika kulingana na namna wapinzani wao watakavyokuja katika mchezo husika

Previous articleYANGA HAWANA HOFU KIMATAIFA
Next articleVIDEO; JEMBE: ISHU YA BURE YANGA KUNA TATIZO MAHALI