Home Sports VIDEO; JEMBE: ISHU YA BURE YANGA KUNA TATIZO MAHALI

VIDEO; JEMBE: ISHU YA BURE YANGA KUNA TATIZO MAHALI

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo kitaifa na Kimataifa Bongo, Saleh Ally, (Jembe) ameweka wazi kuwa kuna mahali haipo sawa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundonws baada ya mabosi Yanga kubainisha kuwa mzunguko itakuwa ni bure.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Machi 30 2024 Uwanja wa Mkapa.

Previous articleWAARABU WA MISRI KUKUTANA NA MTEGO WA SIMBA
Next articleKIMATAIFA YANGA NI MUDATHIR YAHYA