
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA AL HILAL YA SUDAN
FUNGA Agosti 2024 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids inashuka Uwanja wa KMC Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Hiki hapa kikosi cha Simba kinachoanza:- Manula Kapombe Nouma Che Malone Chamou Kagoma Kibu Fernades Ateba Chasambi Awesu Kwa wachezaji wa akiba ni:- Hussen Duchu Kazi Kijili Hamza Mzamiru Omary…