IVORY COAST NI DARASA TUJIFUNZE
KAMA ungekuwa hapa Abidjan ungeweza kunielewa, hakika ni zaidi ya msiba. Nilifika hapa kutokea San Pedro kwa nia ya kuwaona wenyeji lakini wametolewa. Wakati tukiingia Abidjan, bendera na jezi za wenyeji zilitamba kila sehemu na ilionekana kupoteza haikuwasumbua au kuwakatisha tamaa. Wamepoteza kwa mabao manne na kutolewa, hakika ni zaidi ya MSIBA na ukiwaona walivyo…