MLANDEGE WANAWAVUTIA KASI SIMBA NA SINGIDA FOUNTAIN GATE
MLANDEGE imetinga kwa mara ya pili mfululizo fainali ya Kombe la Mapinduzi baada ya kufanya hivyo 2023 na hatimaye kwa mara nyingine ni 2024. Katika hatua ya nusu fainali baada ya dakika 90 ilikuwa Mlandege 0-0 APR hali iliyopelekea mshindi kupatikana kwa mikwaju ya penalti. Ilikuwa Mlandege 4-2 APR huku mpigaji wa kwanza kwa APR…