MZIZE AINGIA FAINALI KUWANIA TUZO

MSHAMBULIAJI wa Yanga , Clement Mzize ameingia kwenye orodha ya kumsaka mchezaji bora wa mwezi Januari. Shindano Hilo linapewa nguvu na Shirika la Bima la NIC ikiwa ni lengo la kuongeza ushindani ndani ya Yanga. Wengine ambao anapambana nao katika fainali ni beki Gift Fred na kiungo mshambuliaji Willsony Bogy. Ikumbukwe kwamba Januari 30 Mzize…

Read More

SIMBA 4-0 TEMBO RAUNDI YA PILI

KIPINDI cha pili Simba imefunga mabao mawili na kukamilisha dakika 90 kwa ushindi wa mabao 4-0. Mabao ya kipindi cha pili yamefugwa na Karabaka pamoja na Jobe ambapo wote walitokea benchi kwenye mchezo wa leo. UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa raundi ya pili Kombe la Azam Sports Federation mshambuliaji mpya wa Simba…

Read More

SIMBA KAZINI LEO FA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa baada ya kuwa chimbo kwa muda mrefu wanarejea ndani ya Februari kutoa burudani mwanzo mwisho kwenye mechi ambazo watacheza kitaifa na kimataifa. Ikumbukwe kwamba Simba mara ya mwisho kushuka uwanjani kwenye mechi za ushindani ilikuwa ni Januari 13 Uwanja wa Amaan uliposoma Mlandege 1-0 Simba, Kombe la Mapinduzi 2024….

Read More

ANAUZWA ULAYA BEKI WA KAZI BACCA?

KIWANGO cha beki wa kazi ndani ya Yanga Ibrahim Bacca kimekuwa gumzo kila kona huku makocha wakibainisha kuwa uwezo wake unamtosha kucheza Ulaya na akafikia mafanikio yake. Mbali na Bacca nyota Aziz KI na Djigui Diarra wote wa Yanga wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuibukia kwenye changamoto mpya.

Read More

MOROCCO WAKUTANA NA MAAJABU YA AFRIKA KUSINI

WABABE wa kundi F, lililokuwa na timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars iliyoishia hatua ya makundi, Morocco wamefungashiwa virago katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON) mbele ya timu ya Afrika Kusini. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Morocco 0-2 Afrika Kusini kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora. Mabao yalifungwa na Evidence Makgopa dakika…

Read More

Tajirika na Maokoto ya Meridianbet Leo

Leo tena kipute cha ligi pendwa Duniani yani EPL inatarajiwa kuchezwa hii leo na kesho mecho zote huku kila timu ikihitaji ushindi kama wewe mteja ambavyo unahitaji ushindi ukibeti na meridianbet. Ingia sasa na ubeti. Vijana wa Roberto De Zerbi Brighton watakuwa na kibarua kigumu ugenini dhidi ya Luton Town ambaye naye pia alishinda mechi…

Read More

UGUMU WA YANGA MWISHO

UNAWEZA kusema zilikuwa siku ngumu kwa mashabiki wote wa Yanga baada ya kukaa muda mrefu bila kuishuhudia timu yao ikicheza katika ardhi ya Tanzania, jambo ambalo linatarajiwa kugota ukingoni leo Januari 30. Mabingwa hao watetezi watakakuwa na kibarua kusaka ushindi dhidi ya Hausing FC katika mchezo wa kombe la la Shirikisho la Azam Sports. Mchezo…

Read More

MWAKINYO ATUMA SALAMU KWA TWAHA

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amefanikiwa kushinda mkanda wa ubingwa wa WBO Afrika kwa kumchapa Mghana, Elvis Ahorga kwa KO ya raundi ya sana katika pambano la raundi kumi kwenye uzani wa super middle ambalo limepigwa New Amaan Complex, Zanzibar. Mwakinyo ameshinda pambano hilo huku akiweka rekodi za kushinda mkanda wa ubingwa…

Read More

MABINGWA WATETEZI SENEGAL WAMEUMALIZA MWENDO

HATIMAYE bingwa mtetezi Senegal katika Kombe la Mataifa Afrika mwendo ameumaliza kwa kufungashiwa virago na Ivory Coast. Senegal walikuwa ni mabingwa wa 2022 wa AFCON safari yao imegota mwisho baada ya kupoteza mbele ya Ivory Coast kwenye mchezo ambao walikuwa wakipewa nafasi kubwa ya kusonga hatua inayofuata. Ilikuwa ni hatua ya 16wanaishia wakikwama kutinga robo…

Read More

Cheza Sloti ya GOLD OASIS Kasino Bora Meridianbet

Gold Oasis, mchezo mwingine wa sloti  kutoka Meridianbet kasino ya Mtandaoni unaokupeleka maeneo ya jangwa la Sahara. Kazi yako ni kujiunga na kikundi kilichoanzisha kampeni ya ushindi mkubwa. Karibu kwenye furaha kubwa ya kukusanya maokoto.   Gold Oasis ni mchezo wa sloti ulioandaliwa na mtayarishaji Pragmatic Play. Kitu kisichokuwa cha kawaida kabisa kinakungoja katika mchezo…

Read More