KAMATA MAOKOTO YA KUTOSHA MERIDIANBET

Je, unataka kushinda zawadi za kuvutia kama pikipiki, simu au mizunguko ya bure?  Je, unapenda kubashiri michezo au kucheza sloti na kasino mtandaoni?  Basi usikose nafasi hii ya kujiunga na Promosheni hii mpya kutoka Meridianbet. Promosheni ya “Jichukulie Maokoto na Halopesa” Inafanya kazi pale ambapo mteja wa Meridianbet ataweka pesa TZS 10,000 au zaidi, na…

Read More

HIVI NDIVYO MZAMIRU ALIVYOFANYA MAADILIKO YA KANOUTE CAF

KWENYE mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba 1-1 Power Dynamow, Mzamiru alikomba dakika 58 nafasi yake ikachukuliwa na Willy Onana ambaye ni kiungo mkabaji. Akiwa benchi Simba ilipata bao dakika ya 69 muda mfupi baada ya kiungo huyo mkabaji kutoka. Alipotazama wapinzani wao wanashambulia kwa kasi hakuna kiungo mkabaji wa asili, akitazama benchi yupo…

Read More

WAMOROCCO WANAWASHANGAA WACHEZAJI WA TANZANIA

WACHEZAJI wengi waliopo Tanzania wamekuwa na kiwango kikubwa cha uchezaji lakini hawakuwahi kupitia katika shule za soka maarufu kama Academy. Ili mtoto awe bora ni lazima aanze kulelewa tokea akiwa mdogo akipata mafunzo ya mchezo husika ambao yeye anataka kuutumikia hapo baadaye. Watoto wengi wa Ulaya wamepata bahati kubwa ya kuwa na vyuo bora vya…

Read More

AFCON IPO VIZURI, MAANDALIZI MUHIMU

UWEKEZAJI mkubwa ambao unafanyika kwenye soka la Tanzania unaonekana. Kila siku milango ya fursa inazidi kufunguka, hili ni jambo kubwa ambalo linapaswa kuwa endelevu. Tumeona namna ambavyo nafasi ya dhahabu ya kuandaa AFCON 2023 ilitangazwa, nchi tatu za Afrika Mashariki kupewa jukumu hilo. Uganda, Kenya na Tanzania zina kazi ya kufanya kwa maandalizi. Hii ina…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KUJIPANGA UPYA

FUTURE FC ya Misri imewafungashia virago Singida Fountain Gate ya Tanzania katika mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika. Oktoba Mosi, 2023 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Al Salaam, ulisoma Future 4-1 Singida Fountain Gate. Bao pekee la Singida Fountain Gate lilipachikwa na nyota Marouf Tchakei kwenye mchezo huo ambao Singida…

Read More

SIMBA YATINGA HATUA YA MAKUNDI, KOCHA AWAKA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa Simba wanatinga hatua ya makundi wakiwa hawana furaha mashabiki, huku Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akiweka wazi kuwa umakini kwenye umaliziaji nafasi uliwaponza. Simba wanatinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-3 faida ya mabao ya ugenini kwa kuwa mchezo wa kwanza ubao ulisoma Power Dynamos…

Read More

PHIRI: TUNAFUNZU HATUA YA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

MSHAMBULIAJI wa Simba, Mzambia, Moses Phiri ametamba kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajii ya mchezo wa marudiano dhidi ya Power Dynamos, huku akitamba kuwa Simba itaibuka na ushindi na kufuzu makundi ya mashindano hayo. Simba leo Jumapili watakuwa wenyeji wa Dynamos katika mchezo ambao unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar. Ni…

Read More

REKODI MPYA KWA YANGA KIMATAIFA

HATIMAYE Yanga imetinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupita miaka 25. Ushindi wa bao 1-0 Al Merrikh, Uwanja wa Azam Complex umewapa tiketi ya kuvunja rekodi hiyo. Bao la mzawa Clement Mzize dakika ya 66 limetosha kuwapa ushindi Yanga kwenye mchezo wa nyumbani. Ni ushindi wa jumla ya mabao 3-0…

Read More

MWAMBA AJAZWA UPEPO SIMBA ATUMA UJUMBE KWA WAZAMBIA

KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amewaambia washambuliaji wake wakiongozwa na Jean Baleke kutumia vyema kila nafasi watakayoipata ili wapate bao la mapema ndani ya dakika 10 kuwavuruga wapinzani wao Power Dynamos ya nchini Zambia. Timu hizo zinatarajiwa kuvaana leo Jumapili saa 10 kamili jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamanzi jijini Dar….

Read More

YANGA YAVUNJA REKODI YAKE KIMATAIFA

YANGA imetinga hatua ya makundi katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa ushindi wa bao 1-0 Al Merreikh. Ni bao la Clement Mzize ambaye ni mzawa alipachika bao hilo dakika ya 66. Jumla Yanga imefunga mabao 3-0 baada ya ule wa ugenini kupata ushindi wa mabao 2-0. Miguel Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amevunja rekodi ya…

Read More

SIMBA KWENYE KAZI NZITO KIMATAIFA, MABAO YA KIDEO TATIZO

KAZI ni nzito kwa wachezaji wa Simba kusaka ushindi mbele ya Power Dynamos katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Oktoba Mosi. Ikiwa wachezaji wataingia uwanjani kutafuta mabao ya kideo itawagharimu na safari ya kutinga hatua ya makundi itagotea hapo. Hasara kubwa kwa Simba kutokana na uwekezaji katika usajili msimu wa 2023/24 hasara kwa Taifa…

Read More

YANGA KAMILI GADO KUWAKABILI WAPINZANI WAO KIMATAIFA

KIUNGO mkabaji, Mganda, Khalid Aucho na mshambuliaji, Mzambia, Kennedy Musonda wote wa Yanga wamesema kuwa wapo fiti tayari kuwavaa wapinzani wao Al Merrikh ya nchini Sudan. Timu hizo zitavaana katika mchezo wa marudiano wa kufuzu makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika utakaochezwa leo saa moja kamili usiku kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar. Katika mchezo…

Read More

ASTON VILA YAICHAPA BRIGHTON

NDANI ya dakika 26 Brighton imeshuhudia ikitunguliwa mabao matatu dhidi ya Aston Villa. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Villa Park umesoma Aston Villa 6- 1 Brighton. Ni Ollie Watkins amepachika hat trick kwa mabao ya dakika ya 14, 21, 64, Pervis Estupinan alipachika bao dakika ya 26. Jacob Ramsey ni dakika…

Read More

NYOTA SIMBA ASHUSHA PRESHA, YUPO FITI KWA KAZI

KIUNGO wa Simba raia wa Ivory Coast, Aubin Kramo amerejea nchini akitokea nyumbani kwao kwa ajili ya matibabu na sasa anaendelea vizuri akisubiria taratibu za kurejea uwanjani kuipambania timu yake. Kiungo huyo wiki moja iliyopita aliomba ruhusa kwa uongozi wa Simba ili arejee nyumbani kwao kwa ajili ya kwenda kujiuguza majeraha yake ya goti ambayo…

Read More

YANGA YAFUTA MATOKEO YA KIMATAIFA, KAZI AZAM COMPLEX

BENCHI la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa ushindi wa mabao 0-2 waliopata dhidi ya Al Merrikh, Waarabu wa Sudan wameyafuta yote na akili zao ni kupata ushindi kàtika mchezo wa leo. Chini ya Miguel Gamondi kikosi cha Yanga kinatarajiwa kutupa kete yake ya pili kàtika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika unaotarajiwa kuchezwa leo…

Read More