
YACOUBA NA YANGA, MAISHA LAZIMA YAENDELEE
ALIKUWA moja ya wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Yanga kwenye eneo la ushambuliaji ambapo aliunda pacha nzuri na Deus Kaseke. Yacouba amewaaga mabosi wa timu hiyo na kuwashukuru kwa muda ambao alikuwa nao ndani ya kikosi hicho. Alikuwa nje kwa muda wa msimu mzima akipambania hali yake baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa…