
MATAJIRI WANUNUA MABAO YANGA, BEKI SIMBA AONDOLEWA KAMBINI
MATAJIRI wanunua mabao ya Yanga,beki Simba aondolewa kambini
MATAJIRI wanunua mabao ya Yanga,beki Simba aondolewa kambini
KIUNGO wa kazi ndani ya Simba, Hassan Dilunga amerejea kwenye uwanja wa mazoezi baada ya kuwa nje kwa muda mrefu akipambania afya yake. Nyota huyo aliumia kwenye mazoezi wakati timu hiyo ilipokuwa kwenye maandalizi ya mechi zake za ushindani. Taarifa iliyotolewa na Simba imeeleza kuwa HD amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kupona. Hivi…
MOHAMED Abdalaha, ‘Bares’ Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons amesema kuwa mashabiki wawe na Imani timu hiyo haitashuka daraja licha ya presha ambayo wanaipitia pamoja na mwendo ambao hawaufurahii. Mchezo wao uliopita Uwanja wa Majaliwa ulisoma Namungo 2-3 Tanzania Prisons na kuwafanya wasepe na pointi tatu ugenini. Haikuwa kwenye mwendo mzuri katika mechi zake za hivi…
UEFA CHAMPIONS LEAGUE kurindima hii leo ambapo leo hii Manchester City atacheza dhidi ya RB Leipzig ambapo City anashikilia nafasi ya pili kwenye msimamo na Leipzig yupo nafasi ya tatu kule Bundesliga. Kila timu inahitaji ushindi kusonga mbele. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee ingia na ucheze ujiweke kwenye nafasi ya kukusanya mpunga mrefu kabisa utakaobadili…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao. Timu hiyo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba. Kwenye mchezo huo Oliveira alianza na washambuliaji wawili…
MUDA wa kukamilisha kazi kwenye Ligi Kuu Bara ambayo ilianza kwa kasi unazidi kusogea kutokana na kila timu kubakiwa na mechi chache mkononi. Kila mmoja kwa sasa anapambana kuona namna gani atafikia yale malengo ambayo alikuwa ameanza nayo kwa msimu wa 2022/23 ambao unazidi kwenda kwa kasi. Hakuna ambaye anapenda kuona kwamba matokeo anayopaa yanakuwa…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kuna nguvu kubwa kwa wachezaji kupata matokeo mapema jambo linaoongeza nguvu ya kujiamini na kucheza kwa utulivu. Timu hiyo inashiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa hatua ya makundi inasaka pointi tatu ili kufikisha malengo ya kutinga hatua ya robo fainali ina pointi 7 kwenye kundi D baada…
MBRAZIL atumia saa 120, Wahispania wamfuata Musonda Dar ndani ya Spoti Xtra Jumanne
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi kuelekea mchezo wa kimataifa wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya US Monastir ya Tunisia yapo sawa. Kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini nchini Tunisia Yanga ilipoteza kwa kushuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga watakuwa na kazi ya kusaka ushindi Jumapili. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga…
KIKOMBE ambacho Azam FC waliwapa Ihefu kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara nao wamekipokea vilevile ugenini. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza Azam FC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni Prince Dube muuaji anayetabasamu. Machi 13,2023 ubao wa Uwanja wa Highland huko Mbeya umesoma Ihefu 1-0…
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Keneddy Musonda amepata fursa ya kupokea zawadi ya medali kutoka kwa mtoto Lucas Gomez Usoz kutoka Spain huku akiahidi kwamba ataendelea kufunga kila anapopata nafasi. Kijana huyo mwenye umri wa miaka 8 anayeishi mjini Madrid nchini Spain alituma Medali hiyo kupitia ubalozi wa Spain (TZ) na kukabidhiwa rasmi leo na Balozi Jorge…
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Adel Amrouche ametangaza kikosi kitakachocheza michezo miwili ya kufuzu Afcon dhidi ya Uganda mechi mbili namna hii:- Aishi Manula, (Simba) Beno Kakolanya, (Simba) Metacha Mnata, (Yanga) Kibwana Shomari, (Yanga) Datius Peter, (Kagera Sugar) Yahya Mbegu, (Ihefu) David Luhende, (Kagera Sugar) Dickson Job, (Yanga) Bakari Mwamnyeto,…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ally ameweka wazi kuwa mchezo dhidi ya Horoya utakuwa na ushindani mkubwa ambapo tayari kikosi kimeingia kambini. “Mchezo wetu utakuwa Jumamosi na tayari…
MIPIRA mingi kwenye ligi kwa sasa ni zawadi kwa wageni huku wazawa wakiwa mashuhuda wa jambo hili lazima wazinduke waongeze juhudi. Katika idadi ya hat trick tano ambazo zimefungwa kwenye ligi msimu huu ni mzawa mmoja pekee ambaye ni John Bocco yeye kafanya hivyo mara mbili. Waliobaki watatu wote ni wachezaji wakigeni hili liwape hasira…
MPANGO kazi wa Kocha Mkuu wa Singaida Big Stars, Hans Pluijm kusepa na pointi tatu dhidi ya Coastal Union ulikwama baada ya kuambulia pointi moja. Ikiwa ugenini baada ya dakika 90 Machi 12,2023 ubao wa Uwanja wa Mkwakwani ulisoma Coastal Union 1-1 Singida Big Stars. Ni mastaa wawili walipachika mabao kwenye mchezo huo ambapo kwa…
ROBERTO Oliveira ‘Robertinho’, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kila mchezo atafanya mabadiliko kulingana na mbinu za wapinzani wake anaokutana nao. Timu hiyo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa imetoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Manungu ukisoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba. Kwenye mchezo huo Robertinho alianza na washambuliaji…
WABABE wawili leo wanatarajiwa kuvuja jasho ndani ya dakika 90 kusaka pointi tatu muhimu kwenye mchezo wa ligi. Ni Ihefu itawakaribisha Azam FC kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate. Kila timu itaingia kwa hesabu za kusaka pointi tatu na kuandika rekodi mpya ambapo Ihefu wao wanahitaji kulipa kisasi cha kutunguliwa mchezo wa mzunguko…