>

YANGA MGUU MMOJA FAINALI KIMATAIFA

YANGA imetanguliza mguu mmoja hatua ya fainali kwa ushindi wa mabao 2-0 Marumo Gallants. Kipindi cha pili Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi amekamilisha kufunga hesabu kwa nyota wake kupachika mabao. Ni Aziz KI kiungo wa Yanga alianza kutupia bao la ufunguzi dakika ya 63 kwa shuti akiwa ndani ya 18 na lile la pili ni mali ya…

Read More

IHEFU WAIVUTIA KASI COASTAL UNION

KLABU ya Ihefu imeanza hesabu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union. Ikumbukwe kwamba Ihefu inashikilia rekodi ya kuwa timu ya kwanza kuifunga Yanga kwa msimu wa 2022/23. Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na mechi tatu mkononi ambapo mchezo ujao ni dhidi ya Dodoma Jiji. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa jumapili,…

Read More

YANGA 0-0 GALLANTS MARUMO

HATUA ya nusu fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa, ubao unasoma Yanga 0-0 Marumo Gallants. Dakika 45 za nguvu kwa Yanga ambao wanapambania kutinga hatua ya nusu fainali. Kwenye upande wa viungo na ushambuliaji kazi kubwa inafanywa na Aziz KI, Tuisila Kisinda ambaye amekosa kwa kiasi fulani utulivu kutengeneza mashambulizi kwa Fiston Mayele. Mayele anaonyesha…

Read More

MTIBWA SUGAR WAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

MTIBWA Sugar yenye maskani yake Morogoro kwa sasa ipo kwenye maandalizi ya mchezo ujao dhidi ya Polisi Tanzania. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu Bara ambao ni wa mzunguko wa pili. Miongoni mwa mastaa ambao wapo kambini ni Razack Kimweri kipa anayekuzwa ndani ya chuo cha soka Bongo pale Morogoro, Mtibwa Sugar. Mchezo huo unatarajiwa…

Read More

JOB,BANGALA WAPEWA KAZI NGUMU KWA MKAPA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa ni muhimu kwa safu yake ya ulinzi kuongeza umakini kwenye mapigo huru na mpira ya juu. Ni Dickson Job ambaye ni beki chaguo la kwanza, Yannick Bangala huyu ni kiraka, Ibraham Bacca hawa Nabi hupenda kuwatumia kwenye eneo la ulinzi. Leo Yanga ina kibarua cha kusaka ushindi…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA MARUMO CAF

TAYARI Yanga wapo tayari kuwakabili Marumo Gallants mchezo wa hatua ya nusu fainali ya kwanza. Katika kikosi cha kwanza Djigui Diarra kipa namba moja wa Yanga ameanza langoni. Dickson Job, Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto amevaa kitambaa cha unahodha Bacca Yannick Bangala Jesus Moloko Kahlid Aucho Fiston Mayele Aziz Ki Tuisila Kisinda

Read More

NAHODHA SIMBA AOMBA RADHI KWA MASHABIKI

JOHN Bocco nahodha wa Simba amesema kuwa matokeo ambayo wameyapata hawajapenda lakini ni mpira jambo waliomba radhi kwa mashabiki. Simba imepoteza nguvu ya kutwaa taji lolote msimu wa 2022/23 baada ya matumaini yao kuzimika kwenye kila idara. Katika ligi wapo nafasi ya pili huku vinara wakiwa ni Yanga wanaohitaji pointi tatu watetee ubingwa wao, katika…

Read More

NGOMA NZITO UEFA

NGOMA imekuwa ngumu kwa wababe wote wawili kusepa na ushindi katika mchezo wa UEFA Champions League. Ubao wa Uwanja wa Santiago Bernabeu umesoma Real Madrid 1-1 Manchester City ikiwa ni hatua ya nusu fainali ya Kwanza. Vini Jr alianza kutupia upande wa Real Madrid dakika ya 36 kipindi cha kwanza bao ambalo lilisawazishwa kipindi cha…

Read More

KIUNGO MGUMU SIMBA LAZIMA ABADILIKE

KIUNGO Kanoute lazima akubali kubadilika kutokana na mikato yake ya kimyakimya kuigharimu timu yake kila mara. Miongoni mwa wachezaji imara na bora wawapo uwanjani kwenye eneo la ukabaji huwezi kumuweka kando Sadio Kanoute. Huyu ni kiungo wa ukabaji asilia lakini amekuwa akiigharimu mara nyingi timu pamoja na kutokuwa mlinzi mzuri kwa wachezaji wa timu pinzani….

Read More

KIBOKO YA AIR MANULA NI MOTO WA KUOTEA MBALI

MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC, Prince Dube kahusika kwenye mabao 10 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kali Ongala. Dube kampa tabu pia kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kwa kumtibulia rekodi zake za kutofungwa kwenye mechi zote mbili za ligi walipokutana Uwanja wa Mkapa. Manula wa Simba ni namba mbili kwa…

Read More