
SIMBA:MWARABU ANAKUFA NNE,YANGA YAIWEKEA MTEGO TP MAZEMBE
SIMBA: Mwarabu anakufa nne, Yanga yaiwekea mtego TP Mazembe ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
SIMBA: Mwarabu anakufa nne, Yanga yaiwekea mtego TP Mazembe ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
Pata Odds kubwa na bomba kutoka Meridianbet mabingwa wa ubashiri na kasino ya mtandaoni, Leo Ligi ya Uropa na Europa Conference League zote zitaendelea kwa siku mbili Alhamisi na Ijumaa, mechi kubwa ni FC Barcelona vs Manchester Utd. Jiunge na Meridianbet upate odds kubwa, lakini pia kasino ya mtandaoni yenye michezo kama Poker, Aviator, Roulette…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwa sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo wao wa Jumapili dhidi ya TP Mazembe huku yale yaliyotokea Tunisia wakiyaweka kando. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi Februari 12 ilishuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga kwenye mchezo wa hatua ya Makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Jana msafara wa…
UONGOZI wa Simba umesema kuwa malengo makubwa kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ni kupata ushindi. Ni Februari 18,2023 Simba ina kazi nzito ya kusaka ushindi dhidi ya vigogo Raja ambao wanaongoza kundi C wakiwa wametoka kuwatungua Vipers mabao 5-0. Leo Februari 15,2023 Simba imefanya uzinduzi wa kampeni…
IMEELEZWA nyota wa Yanga Feisal Salum amepata ajali lakini yupo salama huko visiwani Zanzibar baada ya kugongana na bodaboda. Nyota huyo kwa sasa yupo Zanzibar baada ya kuwa kwenye sakata la mvutano na mabosi wake wa Yanga. Yanga wao wanahitaji mchezaji arejee ndani ya kikosi hicho kwa kuwa bado ana mkataba huku mchezaji akihitaji kuondoka.
FEBRUARI 14 2023 kikosi cha Azam FC kilifanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuwakabili mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2023 leo Februari 15,2023. Mlandege ambao waliwashangaza mabingwa watetezi Simba pamoja na watani zao wa jadi Yanga kushuhudia wakitwaa ubingwa leo wanakibarua cha kumenyana na Azam FC. Ni mchezo wa kirafiki ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa…
MASTAA wa Simba ikiwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama,Aishi Manula, Pape Sakho, Shomary Kapombe wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapambana kupata matokeo kwenye mechi zote za hatua ya makundi. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira akishirikiana na Juma Mgunda ilianza kwa kuambulia kichapo ugenini ubao uliposoma Horoya 1-0 Simba mchezo wa Ligi…
RAIS Samia anunua mabao ya Baleke, Mayele CAF, Matajiri wapanda dau Yanga ndani ya Championi Jumatano
Meridianbet wameongeza gemu mpya na rahisi kushinda inayokupa mizunguko kibao na bonasi nyingi kutoka Kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ni sloti ya Pia Premium ambayo husafirisha wachezaji kwenye tamaduni ya Wenyeji wa Amerika moja kwa moja kwa michoro ya kupendeza na ya kusisimua. Binti wa kifalme wa India huleta chaguo za kuvutia ya 98% na…
Anaandika Jembe SIMBA na Yanga zimepoteza mechi za kwanza za ugenini kimataifa. Tukubali timu zetu zilijiandaa lakini Caf CL na Caf CC si lelemama, si sehemu ya maneno mengi na kupeana moyo tu…NI MAPAMABO HALISI… Simba wamefungwa na Horoya wanayoizidi kwenye ubora wa Rank za Caf, hali kadhalika Yanga kwa Monastir. Sasa nyumbani wanakwenda kukutana…
BAADA ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuweka wazi kuwa atanunua bao la timu za Tanzania zinazoshiriki mashindano ya kimataifa kwa milioni 5, uongozi wa Simba umetoa shukrani za dhati kwa jambo hilo. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa jambo hilo ni kubwa…
KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazil, Roberto Oliveira ‘Robertinho’ amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa hataingia kivingine kimbinu watakapovaana dhidi ya Raja Casablanca ya nchini Morocco. Hiyo ni baada ya kuanza vibaya hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa ugenini dhidi ya Horoya AC ya nchini Guinea wakifungwa bao 1-0. Jumamosi…
Tarehe 13 siku ya Redio duniani kampuni ya michezo ya ubashiri Tanzania Meridianbet imetoa vifaa vya kutendea kazi kwa kituo cha Habari cha Radio 1, Hii ni katika kuendeleza taratibu wa kurejesha kwa jamii ambapo ni utaratibu kampuni hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet. Katika zoezi hilo Mkurugenzi Mtendaji wa Radio One na ITV,…
Rais Samia Suluhu ametangaza kununua kwa Sh5 milioni kila bao litakalofungwa na Simba na Yanga katika michezo yao ya kimataifa ya mwisho wa wiki hii. Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema hayo leo huku timu hizo zikiwa na kibarua kwa mechi ya pili hatua ya makundi baada za kwanza kufungwa ugenini. Simba itacheza Jumamosi…
KOCHA Mkuu wa Singida Big Stars Hans Pluijm amesema kuwa makosa ambayo wamefanya kwenye mchezo dhidi ya Ihefu watafanyia kazi kwa mechi zijazo. Februari 12 2023 Singida Big Stars ilitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 dhidi ya Ihefu kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Highland Estate. Pluijm amesema kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo huo…
Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne na mia mbili tu. (20,104,200/=). Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet. Mshindi huyo ambaye alibeti na Meridianbet na kuweka dau la shilingi 5,000/= (elfu tano tu) na kuweka mechi 15 tu, ambazo alichanganya…