LIGI MBALIMBALI ULAYA KUKIWASHA WIKIENDI HII, USIKAE MBALI WEKA MKEKA WAKO UPATE MKWANJA
Wikiendi hii Meridianbet wanakupa fursa ya kunyakua kitita kupitia michezo mbalimbali inayopigwa katika ligi mbalimbali barani ulaya wikiendi hii, Kwakua Meridianbet wamekuweka odds bomba na machaguzi kibao ambayo yanakupa fursa ya kunyakua kitita. Mechi za Jumamosi 25 Febuari Baada ya kulazimishwa sare katika mchezo uliomalizka klabu ya Manchester City wikiendi hii itakua ugenini kumenyana na…