MKUDE NDANI YA BUKOBA KAZI IPO

 LEGEND Jonas Mkude ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha Simba ambao wapo kwenye msafara uliowea kambi Bukoba. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba. Ikumbukwe kwamba Simba msimu wa 2021/22 ilinyooshwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa…

Read More

MZEE WA SPIDI 120 HATIHATI KUWAVAA COASTAL UNION

MZEE wa spidi 120 Tuisila Kisinda kuna hatihati ya kuanza kwenye mchezo wa kesho kutokana na kutokuwa fiti. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kesho Desemba 20,2022 ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Coastal Union. Kwa mujibu wa Cedrick Kaze, Kocha Msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa mchezo…

Read More

MESSI KABEBA TAJI, MBAPPE KAWEKA REKODI

NYOTA Lionel Messi aliiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa kuwashinda mabingwa watetezi Ufaransa kwa mikwaju ya penalti 4-2 baada ya sare ya 3-3 ndani ya dakika 120. Katika mchezo huo ambao utaingia kwenye historia ya kuwa miongoni mwa mchezo mkubwa wa fainali kupata kuchezwa kwa vigogo hao wawili Uwanja wa Lusail Iconic….

Read More

KOCHA COASTAL UNION MAMBO MAGUMU

SEPTEMBA 12,2022 Katibu Mkuu wa Coastal Union, Omar A.S Ayoub alimtambulisha kocha Yusuf Chipo kuwa kocha mkuu wa timu hiyo. Chipo alisaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuinoa timu hiyo ambapo alichukua mikoba ya Juma Mgunda anayeinoa Simba. Taarifa zinaeleza kuwa kocha huyo kwa sasa yupo kwenye mazungumzo na mabosi wa timu hiyo ili aweze…

Read More

CHAMA CHA WASIOONA TANZANIA WANEEMEKA NA MSAADA KUTOKA MERIDIANBET

Chama cha Wasioona Tanzania (TLB) kwa furaha kubwa wamepokea msaada wa fimbo za kutembelea “White canes” kutoka Meridianbet Tanzania ikiwa ni moja ya utamaduni wa kampuni hiyo kuyashika mkono makundi yenye mahitaji maalum pamoja na jamii kwa ujumla kwa kutoa misaada mbalimbali. Akitoa ushuhuda wake akiwa haamini kile kilichotokea, Katibu wa Chama hicho ndugu Iddi…

Read More

KIBU ACHEKA NA NYAVU, GEITA 0-5 SIMBA

MWAMBA Kibu Dennis leo Desemba 18,2022 amefungua akaunti yake ya mabao kwenye Ligi Kuu Bara. Wakati ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita Gold 0-5 Simba nyota huyo katupia bao moja dakika ya 89. Bao hilo ametupia akitumia pasi ya kiungo namba moja wa pasi za mwisho ndani ya Simba Clatous Chama aliyetoa kwa…

Read More

MWAMUZI WA FAINALI HUYU HAPA

NI Szymon Marciniak raia wa Poland ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Dunia leo Desemba 18,2022. Ni Argentina dhidi ya Ufaransa ambao ni mabingwa watetezi wa Kombe la la Dunia. Marciniak mwenye maiak 41, amekuwa mwamuzi wa FIFA tangu 2011 na fainali itakuwa mechi yake ya tatu huko Qatar,…

Read More

GEITA GOLD 0-2 SIMBA

 MABAO mawili yamepachikwa ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, Mwanza. Ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba unasoma Geita Gold 0-2 Simba. Ni John Bocco nahodha wa Simba amepachika bao la kuongoza dakika ya 11 kisha kamba ya pili ni mali ya Clatous Chama. Chama amepachika bao hilo dakika ya…

Read More

AZAM FC YAJIVUNIA POINTI ZAO ZA KARIAKOO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umezifungia pointi za vigogo wa Kariakoo,Yanga na Simba za mzunguko wa kwanza wanasubiri nyingine. Azam chini ya Kali Ongala imekuwa na mwendo bora ambapo kwenye mechi 8 mfululizo ilisepa na pointi 24 imeanza mzunguko wa pili kwa sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar.  Ofisa Habari…

Read More

HELLO, MWENDELEZO WA MAYELE SOMO KWA WAZAWA

MWENDELEZO mzuri wa kucheka na nyavu upo kwenye miguu ya Fiston Mayele kinara wa utupiaji mabao ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 11. Alipowatungua Polisi Tanzania hakushangilia kwa mtindo wake wa kutetema bali alionekana kwa kitendo chake akipiga simu kisha akaongea na kuanza kushangilia. Wanasema alikuwa anawapigiwa watani zake wa jadi pale Mwanza…

Read More