
MKUDE NDANI YA BUKOBA KAZI IPO
LEGEND Jonas Mkude ni miongoni mwa nyota wa kikosi cha Simba ambao wapo kwenye msafara uliowea kambi Bukoba. Kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda kina kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Kaitaba. Ikumbukwe kwamba Simba msimu wa 2021/22 ilinyooshwa bao 1-0 na Kagera Sugar katika mchezo uliochezwa…