YANGA KAMILI KUIVAA MTIBWA SUGAR

KUELEKEA mchezo wa kesho kati ya Mtibwa Sugar v Yanga benchi la ufundi la vinara wa ligi limeweka wazi kuwa lipo tayari. Yanga imekuwa na mwendo wake bora ndani ya ligi ikiwa imetoka kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Azam FC wa mabao 3-2. Kesho Desemba 31 ina kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya…

Read More

SIMBA 1-1 PRISONS

UBAO wa Uwanja wa Mkapa dakika 45 zimekamilika ukisoma Simba 1-1 Tanzania Prisons. Uzembe wa kipa namba moja wa Simba, Air Manula kwenye kuokoa mpira wa hatari uliopigwa na Kimenya umeigharimu timu yake. Pongezi kwa mfungaji Jeremia Juma ambaye alikuwa kwenye eneo akiwa ametulia kama maji kwenye mtungi akamchagulia eneo la kumtungua Manula ambaye alikuwa…

Read More

10BET YAGAWA ZAWADI KWA WASHINDI PROMOSHENI KOMBE LA DUNIA

KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya 10bet imetangaza kuwazawadia washindi mbalimbali 50 wa promosheni ya kombe la dunia (WC Bonanza Promotion). Michuano ya kombe la dunia ilifanyika nchini Qatar na timu ya Argentina chini ya nahodha wao, Lionel Messi ilitwaa ubingwa. Meneja Masoko wa kampuni10bet Tanzania George Abdulrahman amesema kuwa kati ya washindi hao 50,…

Read More

AZAM FC YAKATA TAMAA ISHU YA UBINGWA

KAIMU Kocha Mkuu wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa kushindwa kupata matokeo chanya kwenye mechi tatu kunawaondoa kwenye mbio za ubingwa. Matajiri hao wa Dar mzunguko wa pili umekuwa ni mgumu kwao kupata matokeo ambapo walianza kupata sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya…

Read More

MILIONI 30 MEZANI MNYAMA ATUNGULIWE KWA MKAPA

KLABU ya Tanzania Prisons imewekewa kitita cha Tsh Milioni 30 na wadhamini wao Kampuni ya Silent Ocean endapo itaifunga Simba. Prisons inatarajiwa kumenyana na Simba leo Desemba 30,2022 Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa funga mwaka. Ikitokea wakashindwa kusepa na ushindi na kuambulia pointi moja watasepa na Milioni 10 kibindoni. Ikumbukwe kwamba hata mchezo…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI LEGEND PELE

GWIJI wa soka wa Brazil Pele, mmoja wa wachezaji bora zaidi wa wakati wote, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Mshambulizi huyo wa zamani, ambaye ndiye mchezaji pekee katika historia kushinda vikombe vitatu vya Kombe la Dunia, aliaga dunia katika hospitali ya Albert Einstein mjini Sao Paulo kufuatia kuugua saratani. Pele, ambaye ni…

Read More

LIGI IMECHANGANYA, MECHI KALI ZA FUNGA MWAKA 2022 ZENYE ODDS KUBWA NA MACHAGUO KIBAO MERIDIANBET

Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbet wameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahau machaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka 2023. Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet?…

Read More