
KOMBE LA DUNIA NA TUZO BINAFSI WAMESEPA NAZO ARGENTINA
TIMU ya Taifa ya Argentina imekabidhiwa taji lake leo baada ya kushinda Kombe la Dunia 2022 Qatar likiwa ni la tatu kwao. Ushindi wao wa penalti 4-2 dhidi ya Timu ya Taifa ya Ufaransa umepeleka furaha kwao huku maumivu yakiwa kwa wapinzani wao. Lionel Messi nahodha wa Argentina ametwaa tuzo ya mpira wa dhahabu huku…